1Kisha Yesu alitembea huko Galilea, kwani hakutaka kutembea katika nchi ya Yudea, kwa kuwa Wayuda walitaka kumwua.Yesu anafundishia Patakatifu.
14Lakini siku za katikati za sikukuu Yesu akapanda kupaingia Patakatifu, akafundisha.
15Wayuda walipostaajabu wakisema: Huyu anajuaje Maandiko, naye hakufundishwa?
31Lakini wengi waliokuwamo kundini mwa watu wakamtegemea, wakasema: Kristo atakapokuja atafanya vielekezo vingi kuliko hivyo, alivyovifanya huyu?
45Kisha wale watumishi wakarudi kwa watambikaji wakuu na kwa Mafariseo; nao walipowauliza: Mbona hamkumleta?
46watumishi wakajibu: Tangu kale mtu hajasema hivyo kama mtu huyo anavyosema.Mat. 7:28-29.
47Mafariseo wakawajibu: Nanyi mmepotezwa?
48Je? Yuko mkubwa au Fariseo anayemtegemea?
49Ni hili kundi la watu tu wasioyatambua Maonyo, ndio walioapizwa.
50Ndipo, Nikodemo aliyemjia siku zile usiku, aliyekuwa mmoja wao, alipowaambia:Yoh. 3:1-2.
51Maonyo yetu huhukumu mtu, asiposikiwa kwanza, yatambulikane aliyoyatenda?5 Mose 1:16-17.
52Wakajibu, wakamwambia: Je? Nawe u mtu wa Galilea? Tafuta, uone, ya kuwa hakuna mfumbuaji anayetoka huko Galilea!Yoh. 7:41.
53Wakaenda zao kila mmoja nyumbani kwake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.