Yosua 9 - Swahili Roehl Bible 1937

Wagibeoni wanajipatia kwa ujanja urafiki wa Waisiraeli.

1Walipoyasikia hayo wafalme wote waliokaa ng'ambo ya huku ya Yordani milimani na katika nchi ya tambarare na huko pwani po pote penye Bahari Kubwa panapoelekea Libanoni. Wahiti na Waamori na Wakanaani na Waperizi na Wahiwi na Wayebusi,

2wakakusanyika pamoja kwenda kupigana na Yosua nao Waisiraeli, mioyo yao ikawa kama mmoja.

3Wenyeji wa Gibeoni walipoyasikia, Yosua aliyoutendea Yeriko na Ai,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help