Mashangilio 106 - Swahili Roehl Bible 1937

Upole wake Mungu na ugumu wao Waisiraeli.(1,47-48: 1 Mambo 16:34-36.)

1Haleluya! Mshukuruni Bwana, ya kuwa ni mwema! Ya kuwa upole wake ni wa kale na kale!

13Lakini upesi sana wakayasahau matendo yake, aliyoyataka kuwaeleza hawakuyangojea.

14Walipoingiwa na tamaa kule nyikani wakazifuata, wakamjaribu Mungu huko jangwani.

48Na utukuzwe, Bwana Mungu wa Isiraeli, tangu kale hata kale!

Nayo makabila yote ya watu sharti yaitikie: Amin! Haleluya!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help