1 Yohana 3 - Swahili Roehl Bible 1937
Sisi tu wana wa Mungu.
1*Tazameni, jinsi Baba alivyotupenda sana, tuitwe watoto wa Mungu! Nasi ndio. Kwa hiyo ulimwengu haututambui, kwani haukumtambua yeye.Anayemchukia ndugu yake ni mwua watu.
13*Msistaajabu, ndugu, ulimwengu ukiwachukia ninyi!