1Haleluya! Ninyi watumishi wake Bwana, shangilieni! lishangilieni Jina lake Bwana!
2Jina lake Bwana na likuzwe kuanzia sasa hata kale na kale!
3Toka maawioni kwa jua mpaka machweoni kwake Jina lake Bwana na lishangiliwe!
4Bwana anatukuka kuwapita wamizimu wote, utukufu wake unaupita nao wake mbingu.
5Afananaye na Bwana Mungu wetu yuko nani? Naye alijipatia kao huko juu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.