1*Kaeni na kupendana kindugu!Ng'ombe yetu ya tambiko na mji wetu ukaao.
7Mwakumbuke waliowaongoza ninyi, waliowaambia Neno la Mungu! Tazameni, walivyotoka ulimwenguni, mviige, walivyomtegemea Mungu!Mchungaji wa kondoo aliye mkuu.
18Tuombeeni sisi! Kwani mioyo yetu hutushuhudia, tuyajuayo kwamba: Twataka kufanya mwenendo mzuri katika mambo yote.2 Kor. 1:12.
19Lakini nakaza kuwahimiza, mfanye hivyo, nirudishwe kwenu upesi.
20Mungu mwenye utengemano aliyemtoa kwenye wafu Bwana wetu Yesu aliye mchungaji mkuu wa kondoo kwa nguvu ya damu ya Agano la kale na kale,Yoh. 10:12; 1 Petr. 2:25.
21yeye Mungu awape nguvu ya kuyafanya mema yote, ayatakayo! Maana yeye ndiye anayetupa kuyafanya yapendezekayo mbele yake, akitushikisha njia yake Yesu Kristo. Huyu na atukuzwe kale na kale pasipo mwisho!
22Lakini nawahimiza, ndugu, yatieni mioyoni maneno haya ya kuwaonya! Kwani nimewaandikia na kukatakata.
23Jueni, ya kuwa ndugu yetu Timoteo amefunguliwa! Akija upesi, tutaonana nanyi pamoja na yeye.
24Nisalimieni wote wawaongozao na watakatifu wote! Nao wenzetu wa Italia wanawasalimu.
25Upole uwakalie ninyi nyote! Amin.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.