1Aburahamu alikuwa mkongwe mwenye siku nyingi, nyingi sana, naye Bwana alikuwa amembariki Aburahamu po pote.
61Kisha Rebeka akaondoka na watumishi wake wa kike, wakipanda ngamia, wakamfuata yule mtu. Hivyo ndivyo, huyo mtumishi alivyomchukua Rebeka kwenda naye.
62Isaka alikuwa ametoka penye kisima cha Mwenye Uzima Anionaye, maana alikaa katika nchi ya kusini.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.