1Mungu akambariki Noa na wanawe na kuwaambia: Zaeni wana, mwe wengi, mwijaze nchi!Maagano ya Mungu.
8Kisha Mungu akamwambia Noa na wanawe waliokuwa naye kwamba:
9Tazameni, mimi sasa ninawawekea agano langu ninyi nao wa uzao wenu wajao nyuma yenuUpindi wa Mungu.
12Kisha Mungu akasema: Agano hili, mimi ninalolifanya nanyi nao nyama wote wenye uzima wanaokaa kwenu, litakuwa nalo lao vizazi vya kale na kale, nacho kielekezo chake ni hiki:
13nimeuweka upindi wangu mawinguni, nao utakuwa kielekezo cha agano, mimi nililoliagana na nchi.
14Itakapokuwa, nikitanda mawingu mengi juu ya nchi, huo upindi utaoneka mawinguni;
15ndipo, nitakapolikumbuka agano langu mimi, nililoliagana nanyi nao wote wenye roho za uzima, ndio wote wenye miili, ya kwamba: Hayatakuwako tena mafuriko ya maji ya kuwaangamiza wote wenye miili.
16Upindi huo utakapokuwa mawinguni, nitautazama, nilikumbuke agano la kale na kale, mimi Mungu nililoliagana nao wote wenye roho za uzima, ndio wenye miili wote wanaokaa huku nchini.
17Kisha Mungu akamwambia Noa: Hiki ndicho kielekezo chaagano, nililokuwekea wewe nao wenye miili wote wanaokaa huku nchini.
Kiapizo na mbaraka ya Noa.18Wana wa Noa waliotoka chomboni walikuwa Semu na Hamu na Yafeti, naye Hamu ndiye baba yao Wakanaani.
19Hawa watatu walikuwa wana wa Noa; toka kwao hawa watu wakaineza nchi yote.
20Noa alipoanza kulima shamba, akapanda shamba la mizabibu.
21Lakini alipokunywa mvinyo akalewa, akalala hemani pasipo kujifunika.
22Hamu, baba yao Wakanaani, alipouona uchi wa baba yake, akawasimulia ndugu zake wawili huko nje.
27Mungu na ampanulie naye Yafeti,
apate kukaa mahemani mwa Semu!
Naye Kanaani sharti awe mtumwa wake!
28Baada ya mafuriko ya maji Noa akawapo miaka 350.
29Hivyo siku zote za kuwapo kwake Noa zikawa miaka 950, kisha akafa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.