1Bwana Mungu wako atakapokwisha kuyang'oa hayo mataifa walio wenye hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, uichukue, iwe yako, ukae mijini mwao namo nyumbani mwao,Mapatilizo ya mashahidi wa uwongo.
15Mtu mmoja asimwondokee mwingine katika shauri la manza zo zote, wala la ukosaji wo wote uliomkosesha mtu kosa lo lote, watu wanalolikosa, ila shauri litawezekana tu kwa ushahidi wa watu wawili au watatu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.