Mashangilio 23 - Swahili Roehl Bible 1937
Bwana ni mchungaji wangu.Wimbo wa Dawidi.
1*Bwana ni mchungaji wangu, hakuna nitakachokikosa.
5Wanitandikia meza machoni pao wanisongao, ukanipaka mafuta kichwani pangu, nacho kikombe changu hukijaza, mpaka kimwagikie.