1Msijitengenezee vinyago vilivyo vya bure! Wala msijisimamishie mifano ya Mungu iliyochongwa kwa miti wala ya nguzo zilizoyeyushwa kwa shaba, wala msijipatie katika nchi yenu mawe yenye machorochoro ya kuyaangukia. Kwani mimi Bwana ni Mungu wenu.
3Kama mtayafuata maongozi yangu, myaangalie maagizo yangu na kuyafanya,
4nitawapa mvua zenu, siku zao zitakapotimia, nchi ipate kuyatoa mazao yake, nayo miti ya mashambani ipate kuyatoa matunda yao.
46Haya ndiyo maongozi na maamuzi na maonyo, Bwana aliyoyatoa kinywani mwa Mose mlimani kwa Sinai kuwa katikati yake yeye nao wana wa Isiraeli.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.