Tito 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Anwani.

1Mimi Paulo ni mtumwa wa Mungu na mtume wa Yesu Kristo kwamba: Waliochaguliwa na Mungu wapate kumtegemea na kuyatambua yaliyo ya kweli; ndiyo yaliyotufundisha kumcha Mungu na kuungojea uzima wa kale na kale.

2Huu ndio wa kiagio, Mungu asiyesema uwongo alichokiweka siku za kale mwenyewe,

3lakini siku zake zilipotimia, akalifufua Neno lake akiitangaza mbiu, niliyopewa nami kuipiga, kama nilivyoagizwa na mwokozi wetu Mungu.Iwapasayo wazee na wakaguzi.

5Kwa sababu hii nilikuacha katika Kreta, uyatengeneze yaliyosalia, uiweekee miji yote wazee, kama nilivyokuagiza:

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help