Waebureo 12 - Swahili Roehl Bible 1937

Maana ya kuonywa.

1*Kwa sababu tuna mashahidi walio wengi hivyo, wanaotuzunguka, kama ni wingu, na tuyatue yote yatulemeayo, tujitenge na makosa yanayoshikamana nasi! Tena katika mashindano, tuliyo nayo, na tukikimbilie kikomo na kuvumilia

6Kwani Bwana humchapa anayempenda,

naye humpiga kila mwana, anayempokea.*

12*Kwa hiyo

mikono iliyolegea nayo magoti yaliyopooza yatieni nguvu tena!

13Nayo miguu yenu ishikisheni mapito yaliyo malinganifu!

Maana wachechemeao wasipotezwe, ila wapate kupona vema!Sikitiko la Esau. Tafuteni kutakaswa!

14Kukimbilieni kupatana nao watu wote! Tena ukimbilieni utakaso! Kwani hata mmoja hatammwona Bwana asipokuwa ametakaswa.

18*Kwani hamkufika penye mlima uliogusika, ukiwaka moto, wala penye wingu jeusi na giza na upepo mkali,Ufalme usiowezekana kutingishwa.

25Angalieni, msimkataye yeye anayesema! Kwani kama wale waliomkataa, aliposema nao nchini, hawakuweza kukimbia, sisi tutawezaje kukimbia tukijitenga naye, anaposema nasi toka mbinguni?

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help