Mateo 28 - Swahili Roehl Bible 1937

Kufufuka.(1-10: Mar. 16:1-10; Luk. 24:1-10; Yoh. 20: 1-18.)

1*Siku ya mapumziko ilipokwisha, siku ya kwanza ya juma kulipokucha, wakaenda Maria Magdalena na yule Maria mwingine kulitazama kaburi.

2Mara kukawa na tetemeko kubwa la nchi. Kwani malaika wa Bwana alishuka toka mbinguni, akaja akalifingirisha lile jiwe, likatoka mlangoni, akalikalia.

3Sura yake ilikuwa kama umeme, nguo zake zikang'aa kama chokaa juani.

11Walipokwenda zao, mara nao walinzi wakafika mjini mmoja mmoja, wakasimulia watambikaji wakuu yote yaliyokuwapo.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help