1Kwani nataka, mlijue shindano langu kubwa, nililo nalo kwa ajili yenu na ya Walaodikia na kwa ajili yao wote wasioniona uso kwa uso kimwili; nalo ni hili:
2mioyo yao ipate kutulizwa, ikaunganishwa na kupendana, wapate kuzitwaa nazo mali zote, mtu azipatazo akiwa mwenye ujuzi mwingi, ni kwamba: Nao walitambue fumbo la Mungu na la Kristo.
3Mwake yeye ndimo, malimbiko yote ya werevu wa kweli na ya utambuzi yalimofichwa.Kutahiriwa Kikristo.
6Basi, kama mlivyompokea Bwana Kristo Yesu, hivyo mwendelee kuwa wake,
7mkishusha mizizi mumo humo mwake, mkajengwa mlemle na kuongezwa nguvu za kumtegemea, kama mlivyofundishwa; hivyo mtayavumisha yale mema, mliyogawiwa.Kivuli cha mambo yanayokuja.
16Kwa hiyo mtu asiwaumbue kwa ajili ya kula au kunywa, wala kwa ajili ya kuacha kuzipa cheo sikukuu zo zote, ikiwa za miandamo ya mwezi au za mapumziko.Miiko ni ya bure.
20Kama mmekufa pamoja naye Kristo mkiyaacha yale mambo yaliyo ya kwanza humu ulimwenguni, kwa nini mwataka tena kupewa miiko kama wenye kuukalia ulimwengu huu?
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.