1Timotheo 3 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Sifa za maaskofu

1 atamani kazi njema.

2 na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu;

9wakiishika siri ya imani kwa dhamiri safi.

10Hawa pia na wajaribiwe kwanza; baadaye waitende kazi ya shemasi, wakiisha kuonekana kuwa hawana hatia.

11Tit 2:3 Vivyo hivyo wake zao na wawe wastahivu; wasiwe wachongezi; ila wawe watu wa kiasi, waaminifu katika mambo yote.

12Mashemasi na wawe waume wa mke mmoja, wakiwasimamia watoto wao vizuri, na nyumba zao.

13Kwa maana watendao vema kazi ya ushemasi hujipatia daraja zuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu.

Siri ya dini yetu

14Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibu.

152 Tim 2:20; Efe 2:19-22 Lakini nikikawia, upate kujua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, iliyo kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli.

16Yn 1:14; 16:10; Rum 1:4; Mk 16:19 Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu.

Mungu alidhihirishwa katika mwili,

Akajulikana kuwa na haki katika roho,

Akaonekana na malaika,

Akahubiriwa katika mataifa,

Akaaminiwa katika ulimwengu,

Akachukuliwa juu katika utukufu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help