1Maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, mfalme katika Yerusalemu
2
15 Mhu 7:13 Yaliyopotoka hayawezi kunyooshwa,
Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.
16 1 Fal 4:29-31; 3:12; Mhu 2:9 Nikatafakari nikisema, Nimejipatia hekima nyingi kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu; naam, moyo wangu umeona kwa wingi hekima na maarifa.
17Mhu 2:3; 1 The 5:21 Nikatia moyo wangu ili kuijua hekima, na kujua wazimu na upumbavu; nikatambua ya kwamba hayo yote nayo ni kufukuza upepo.
18Ayu 28:28; Mhu 7:16; 1 Kor 1:20 Yaani,
Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni;
Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.