2 Mambo ya Nyakati 35 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Pasaka yaadhimishwa

1

6 akatuma kwake wajumbe, kusema, Ni nini niliyo nayo mimi na wewe, Ee mfalme wa Yuda? Sikuja juu yako leo, lakini juu ya nyumba niliyo na vita nayo; naye Mungu ameniamuru nifanye haraka; acha basi kumpinga Mungu, aliye pamoja nami, asikuharibu.

221 Fal 14:2; 22:30; 2 Nya 18:29 Lakini Yosia hakukubali kumwachia, akajibadilisha apate kupigana naye, asiyasikilize maneno ya Neko, yaliyotoka kinywani kwa Mungu, akaja kupigana bondeni mwa Megido.

231 Fal 22:34 Nao wapiga upinde wakampiga Yosia; naye mfalme akawaambia watumishi wake, Niondoeni; kwa kuwa nimejeruhiwa sana.

242 Fal 23:30; Zek 12:11 Basi watumishi wake wakamtoa garini, wakamtia katika gari la pili alilokuwa nalo, wakamleta Yerusalemu; naye akafa, akazikwa makaburini mwa babaze. Watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakamlilia Yosia.

25Yer 22:10; Omb 4:20; Mhu 12:5; Yer 9:17; Amo 5:16; Mt 9:23; Yer 22:20 Naye Yeremia akamlilia Yosia; na waimbaji wote wanaume kwa wawanawake wakamtaja Yosia katika maombolezo yao, hadi leo; hata wakayafanya kuwa ada kwa Israeli; nayo, tazama, yameandikwa katika Maombolezo.

26Zab 112:6; Mit 10:7; 22:1 Basi mambo yote ya Yosia yaliyosalia, na matendo yake mema, sawasawa na yote yaliyoandikwa katika Torati ya BWANA,

27na mambo yake, ya kwanza hadi ya mwisho, tazama, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help