Hesabu 12 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Haruni na Miriamu wamwonea wivu Musa

1 sana zaidi ya wanadamu wote waliokuwa juu ya uso wa nchi.

4 kwa kuwa tumefanya upumbavu, na kufanya dhambi.

12Zab 88:4; Efe 2:1-5; Kol 2:13; 1 Tim 5:6 Nakusihi, asiwe kama mmoja aliyekufa, ambaye nyama ya mwili wake nusu imelika hapo atokapo tumbo la mama yake.

13Yak 5:16 Musa akamlilia BWANA, akasema, Mponye, Ee Mungu, nakusihi sana.

14Hes 5:2-3; Ebr 12:9; Law 13:46; 14:8; 2 Nya 26:20,21 BWANA akamwambia Musa, Je! Kama baba yake angalimtemea mate usoni tu, hangaliona aibu muda wa siku saba? Na afungwe nje ya kambi muda wa siku saba, kisha baada ya hayo ataletwa ndani tena.

15Kum 24:9; 2 Nya 26:20 Basi Miriamu alifungwa nje ya kambi muda wa siku saba; wala watu hawakusafiri hata Miriamu alipoletwa ndani tena.

16Baada ya hayo watu wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika nyika ya Parani.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help