1Samweli 15 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Sauli awashinda Waamaleki lakini amsalimisha mfalme wao

1 Naye Agagi akasema, Bila shaka uchungu wa mauti umeondoka.

33Mwa 9:6; Kut 17:11; Amu 1:7; Mt 7:2; Yak 2:13; Ufu 16:6; 18:6; 1 Fal 18:40 Lakini Samweli akamjibu, Kama upanga wako ulivyofanya wanawake kufiwa na watoto wao, vivyo hivyo mama yako atafiwa miongoni mwa wanawake. Basi Samweli akamkata Agagi vipande mbele za BWANA huko Gilgali.

34 1 Sam 11:4 Na baada ya hayo Samweli akaenda zake kule Rama; naye Sauli akakwea kwenda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli.

35Wala Samweli hakuenda tena kuonana na Sauli hata siku ya kufa kwake; lakini Samweli alikuwa akimlilia Sauli; naye BWANA akaghairi ya kuwa amemtawaza Sauli awe mfalme juu ya Israeli.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help