Zekaria 4 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Maono ya tano: Kinara cha taa na miti ya mizeituni

1 saba ndizo macho ya BWANA; yanaona huku na huko duniani kote.

11Ufu 11:4 Ndipo nikajibu, nikamwambia, Ni nini mizeituni hii miwili iliyo upande wa kulia wa kinara cha taa kile na upande wake wa kushoto?

12Na kwa mara ya pili, nikamwuliza, Ni nini haya matawi mawili ya mizeituni, ambayo kwa njia ya ile mifereji miwili ya dhahabu hutoa mafuta yao?

13Akanijibu, akasema, Hujui hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu.

141 Sam 2:10 Ndipo akasema, Hivi ni hao wana wawili watiwa mafuta, wasimamao karibu na Bwana wa dunia yote.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help