Mambo ya Walawi 19 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Ibada na maadili ya utakatifu

1BWANA akanena na Musa, akamwambia,

2 ya jirani yako; mimi ndimi BWANA.

17 kwa muda wa miaka mitatu miti hiyo itakuwa kwenu kama katazo; matunda yake hayataliwa.

24Kum 12:17,18 Lakini mwaka wa nne matunda yake yote yatakuwa ni matakatifu, kwa ajili ya kumpa BWANA shukrani.

25Na katika mwaka wa tano mtakula matunda yake, ili ipate kuwapa mavuno yake; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

26Mwa 9:4; Law 7:26-27; 17:10-14; Kum 12:16,23; 15:23; 18:10; 2 Fal 17:17 Msile kitu chochote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi.

27Law 21:5; Kum 14:1; Yer 9:26 Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu.

28Kum 14:1 Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.

29Kum 23:17 Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.

30 Law 26:2; Mhu 5:1 Zishikeni Sabato zangu, mpaheshimu patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA.

31Kum 18:11; 1 Sam 28:3; 2 Fal 23:4; Isa 8:19 Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi; msiwatafute; ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

321 Fal 2:19; Mit 20:29; 23:22; 1 Tim 5:1 Mwondokeeni mtu mwenye mvi; heshimuni uso wa mtu mzee; nawe mche Mungu wako, Mimi ndimi BWANA.

33Kut 22:21; Kum 24:17-18; 27:19 Na mgeni akikaa pamoja nawe katika nchi yako, usimdhulumu.

34Kut 12:48; Kum 10:19 Mgeni aishiye pamoja nawe atakuwa kama mzaliwa kwenu; mpende kama nafsi yako; kwa maana ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

35Kum 25:13-16; Mit 20:10; Eze 45:10 Msifanye yasiyo haki katika hukumu, wala katika kupima, wala katika mizani, wala katika cheo.

36Kum 25:13,15; Mit 20:10 Mizani ya haki, vipimo vya haki, efa ya haki, hini ya haki, ndivyo mtakavyokuwa navyo. Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri.

37Kum 6:25; 5:1; Law 18:4,5 Zishikeni sheria zangu, na hukumu zangu, na kuzitenda. Mimi ndimi BWANA.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help