1Basi, tusemeje juu ya Abrahamu, baba yetu kwa jinsi ya mwili?
2Kwa maana ikiwa Abrahamu alihesabiwa haki kwa ajili ya matendo yake, analo la kujisifia; lakini si mbele za Mungu.
3
20Ebr 11:7,11,34 Lakini akiiona ahadi ya Mungu hakusita kwa kutoamini, bali alitiwa nguvu kwa imani, akimtukuza Mungu;
21huku akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.
22Mwa 15:6 Kwa hiyo ilihesabiwa kwake kuwa ni haki.
23Rum 15:4 Lakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake;
241 Pet 1:21 bali na kwa ajili yetu sisi mtakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu Bwana wetu katika wafu;
25Isa 53:4-5; 1 Kor 15:17 ambaye alitolewa kwa ajili ya makosa yetu, na kufufuliwa ili mpate kuhesabiwa haki.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.