1Waambieni ndugu zenu, Ami na dada zenu, Ruhama.Uzinzi, adhabu na ukombozi wa Israeli
2 wala hutaniita tena Baali.
17Kut 23:13 Kwa maana nitayaondoa majina ya Mabaali kinywani mwake, wala hawatatajwa tena kwa majina yao.
18Ayu 5:23; Zek 9:10; Isa 11:6; 2:4; Law 26:5; Yer 23:6 Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.
19Nami nitakuposa uwe wangu wa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema.
20Isa 54:13; Yer 31:33 Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua BWANA.
21Zek 8:12 Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema BWANA; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi;
22nayo nchi itaiitikia nafaka na divai na mafuta; nayo yataiitikia Yezreeli.
23Zek 10:9; 13:9; Rum 9:25; 1 Pet 2:10 Nami nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; nami nitamrehemu yeye asiyepewa rehema; nami nitawaambia wale wasiokuwa watu wangu, Ninyi ndinyi watu wangu; nao watasema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.