1 wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
44wana wa Kerosi, wana wa Siaha, wana wa Padoni;
45wana wa Lebana, wana wa Hagaba, wana wa Akubu;
46wana wa Hagabu, wana wa Salmai, wana wa Hanani;
47wana wa Gideli, wana wa Gahari, wana wa Reaya;
48wana wa Resini, wana wa Nekoda, wana wa Gazamu;
49wana wa Uza, wana wa Pasea, wana wa Besai;
50wana wa Asna, wana wa Meunimu, wana wa Nefusimu;
51wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri;
52wana wa Basluthi, wana wa Mehida, wana wa Harsha;
53wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema;
54wana wa Nesia, wana wa Hatifa.
55 akawaambia kwamba wasile katika vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
64 za dhahabu elfu sitini na moja, na mane za fedha elfu tano, na mavazi mia moja ya makuhani.
70Hivyo makuhani, na Walawi, na baadhi ya watu, na waimbaji, na mabawabu, na Wanethini, wakakaa mijini mwao, naam, Israeli wote wakakaa mijini mwao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.