1 mfalme wa Babeli, aliwachukua mateka, nao wakarudi Yerusalemu na Yuda, kila mtu mjini kwake;
7 akawaambia kwamba wasile katika vile vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
66Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu elfu arobaini na mbili, mia tatu na sitini,
67tena zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wanaume kwa wanawake, ambao walikuwa elfu saba na mia tatu na thelathini na saba; kisha walikuwa na waimbaji wanaume kwa wanawake mia mbili arobaini na watano.
68Farasi zao zilikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu zao, mia mbili arobaini na watano;
69ngamia zao, mia nne thelathini na watano; punda zao, elfu sita na mia saba na ishirini.
70 akatoa kwa ajili ya hazina darkoni, za dhahabu elfu moja, na mabeseni hamsini, na mavazi ya makuhani mia tano na thelathini.
71 za fedha elfu mbili na mia mbili.
72Ayu 34:10; Rum 2:11; Gal 3:28 Na mabaki ya watu wakatoa darkoni za dhahabu elfu ishirini, na mane za fedha elfu mbili, na mavazi ya makuhani sitini na saba.
73Neh 11:20; Kut 23:14-17; Law 23:24-44; Ezr 3:1 Hivyo makuhani, na Walawi, na mabawabu, na waimbaji, na baadhi ya watu, na Wanethini, na Israeli wote, wakakaa mijini mwao.
Hata ulipowadia mwezi wa saba, wana wa Israeli walikuwa wakikaa katika miji yao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.