Mambo ya Walawi 20 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Adhabu ya kukiuka maadili ya utakatifu

1Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

2 yake; wote wawili watatengwa mbali na watu wao.

19 na ndege aliye najisi; nanyi msizifanye nafsi zenu kuwa machukizo kwa njia ya mnyama, au kwa njia ya ndege, au kwa njia ya kitu chochote ambacho nchi imejaa nacho, nilichokitenga nanyi kuwa ni najisi.

26Law 19:2; Zab 99:5; Isa 6:3; 30:11; 1 Pet 1:16; Ufu 3:7; 4:8; Tit 2:14 Nanyi mtakuwa watakatifu kwangu; kwa kuwa mimi BWANA ni mtakatifu nami nimewatenga ninyi na mataifa, ili kwamba muwe wangu.

27 Kut 22:18; Kum 18:10; 1 Sam 28:7 Tena mwanamume au mwanamke aliye na pepo, au aliye mchawi, hakika atauawa; watawapiga kwa mawe; damu yao itakuwa juu yao.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help