Kutoka 6 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Ukombozi wa Waisraeli wahakikishwa

1 bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

4

13BWANA akanena na Musa na Haruni, akawaagiza wawaendee wana wa Israeli, na Farao, mfalme wa Misri, ili awatoe hao wana wa Israeli katika nchi ya Misri.

Nasaba ya Musa na Haruni

14 na Kohathi, na Merari; na miaka ya maisha yake Lawi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba.

17Wana wa Gershoni; ni Libni, na Shimei, kulingana na jamaa zao.

18Hes 26:57; 1 Nya 6:18 Na wana wa Kohathi; ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli; na miaka ya maisha ya huyo Kohathi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na mitatu.

19Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi kulingana na vizazi vyao.

20Kut 2:1,2; Hes 26:59 Huyo Amramu akamwoa Yokebedi shangazi yake; naye akamzalia Haruni, na Musa; na miaka ya maisha yake Amramu ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba.

21Hes 16:1; 1 Nya 6:37,38 Na wana wa Ishari; ni Kora, na Nefegi, na Zikri.

22Law 10:4; Hes 3:30 Na wana wa Uzieli; ni Mishaeli, na Elisafani, na Sithri.

23Rut 4:19,20; 1 Nya 2:10; Mt 1:4; Law 10:1; Hes 3:2 Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.

24Hes 26:11 Na wana wa Kora; ni Asiri, na Elkana, na Abiasafu; hizo ni jamaa za hao Wakora.

25Hes 25:7,11,12; Yos 24:33 Na Eleazari mwana wa Haruni akamwoa mmoja miongoni mwa binti za Putieli; naye akamzalia Finehasi. Hawa ndio vichwa vya nyumba za baba wa Walawi kulingana na jamaa zao.

26Kut 7:4; 12:17; Hes 33:1 Hawa ni Haruni na Musa wale BWANA aliowaambia, akisema, Watoeni wana wa Israeli watoke nchi ya Misri sawasawa na majeshi yao.

27Kut 32:7; 33:1; Zab 77:20 Ni hao walionena na Farao mfalme wa Misri ili wawatoe wana wa Israeli watoke Misri; hao ni wale wale Musa na Haruni.

Musa na Haruni watii amri za Mungu

28Ilikuwa siku hiyo BWANA aliponena na Musa katika nchi ya Misri,

29Kut 7:2 BWANA akamwambia Musa, akasema, Mimi ni BWANA; mwambie Farao mfalme wa Misri maneno yote nikuambiayo.

30Kut 4:10; Yer 1:6 Musa akanena mbele za BWANA, Mimi ni mtu mwenye midomo isiyo tohara, Farao atanisikizaje?

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help