Kutoka 31 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013
Bezaleli na Oholiabu
1BWANA akanena na Musa, na kumwambia,
2 alipokuwa amekwisha zungumza na Musa katika mlima wa Sinai, akampa hizo mbao mbili za ushuhuda, mbao mbili za mawe, zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu.