1
12 Wim 6:11; 4:16; Zab 63:3-8; 73:25 Twende mapema hadi kwenye mashamba ya mizabibu,
Tuone kama mzabibu umechanua,
Na maua yake yamefunuka;
Kama mikomamanga imetoa maua;
Huko nitakupa upendo wangu.
13 Mwa 30:14; Wim 5:1; Mt 13:52; Yn 15:8 Mitunguja hutoa harufu yake;
Juu ya milango yetu yako matunda mazuri,
Mapya na ya kale, ya kila namna,
Niliyokuwekea, mpendwa wangu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.