1Basi Balaamu alipoona ya kuwa ilimpendeza BWANA kuwabariki Israeli, hakwenda, kama hapo awali, ili kupiga bao, bali alielekeza uso wake jangwani.
2
4
Na mbegu zake zitakuwa katika maji mengi.
Na mfalme wake ataadhimishwa kuliko Agagi,
Na ufalme wake utatukuzwa.
8Mungu amemleta kutoka Misri,
Ana nguvu mfano wa nguvu za nyati;
Atawameza mataifa walio adui zake,
Ataivunja mifupa yao vipande vipande.
Atawachoma kwa mishale yake.
9
Yeye aonaye maono ya Mwenyezi,
Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho,
17
Na kuwavunjavunja wana wote wa ghasia.
18 Mwa 27:37; 2 Sam 8:14; Zab 60:8-12; Isa 34:5; 63:1; Amo 9:12 Na Edomu itakuwa milki
Seiri pia itakuwa milki, waliokuwa adui zake;
Israeli watakapotenda kwa ushujaa.
19Mwenye kutawala atakuja kutoka Yakobo,
Atawaangamiza watakaobaki mjini.
20Kisha akamwangalia Amaleki, akatunga mithali yake, akasema,
Amaleki alikuwa ni wa kwanza wa mataifa;
Lakini mwisho wake atapata uharibifu.
21Kisha akamwangalia Mkeni, akatunga mithali yake, akasema,
Makao yako yana nguvu,
Na kiota chako kimewekwa katika jabali.
22Pamoja na haya Wakeni wataangamizwa,
Hadi Ashuru atakapokuchukua mateka.
23Akatunga mithali yake akasema,
Ole wao! Ni nani atakayepona, Mungu atakapofanya haya?
24 Mwa 10:4; Isa 23:1; Dan 11:30; Mwa 11:14; Law 26:28; Kum 28:36; Mt 23:37 Lakini merikebu zitakuja kutoka pwani kwa Kitimu,
Nazo zitamtaabisha Ashuru, na Eberi zitamtaabisha,
Yeye naye atapata uharibifu.
25Basi Balaamu akainuka, akaondoka na kurudi mahali pake; Balaki naye akaenda zake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.