Zaburi 132 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Maskani ya milele ya Mungu katika SayuniWimbo wa kupanda mlima.

1BWANA, umkumbukie Daudi

Taabu zake zote alizotaabika.

2Ndiye aliyemwapia BWANA,

Akaweka nadhiri kwa shujaa wa Yakobo.

3“Sitaingia nyumbani mwangu,

Wala sitalala kitandani mwangu;

4 wako.

11 wangu.

18Adui zake nitawavika aibu,

Bali juu yake taji lake litasitawi.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help