1 wangu na ngome yangu,
Nguzo yangu na mwokozi wangu
Ngao yangu ninayemkimbilia,
Huwatiisha watu wangu chini yangu.
3 ili kupamba nyumba ya mfalme.
13Ghala zetu na zijae
Zenye akiba za jinsi zote.
Kondoo zetu na wazae
Elfu na makumi elfu mashambani mwetu.
14 Law 26:17 Ng'ombe wetu na wabebe mizigo mizito,
Kusiwe na kushambuliwa.
Wala kusiwe na kuhamishwa,
Wala malalamiko katika njia zetu.
15 Kum 33:29 Heri watu wenye hali hiyo,
Heri watu wenye BWANA kuwa Mungu wao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.