1 maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.
31Jua likamzukia akivuka Penueli, akachechemea kwa sababu ya paja la mguu wake.
32Kwa hiyo wana wa Israeli hawali ule mshipa ulio katika uvungu wa paja hata leo; maana alimgusa Yakobo panapo uvungu wa paja katika mshipa wa kiuno.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.