1BWANA akanena na Musa, na kumwambia,
2 mwanamke pamoja na dada yake, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, dada yake akiwa hai.
19 na ulinajisi jina la Mungu wako; mimi ndimi BWANA.
22Law 20:13; Rum 1:27; 1 Tim 1:10 Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
23Kut 22:18; Law 20:15-16; Kum 27:21 Wala usilale na mnyama yeyote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni upotovu.
24 Mt 15:18; 1 Kor 3:17; Kum 18:12 Msijitie unajisi katika hata mojawapo ya mambo hayo; kwa maana hayo mataifa nitakayoyatoa mbele zenu yamekuwa najisi kwa mambo hayo yote;
25Hes 35:34; Isa 24:5; 26:21; Yer 9:9; 16:18 nayo nchi ikawa najisi; na nikaipatiliza kwa ajili ya uovu wake, kisha ikawatema wakazi wake.
26Kwa hiyo mtazishika amri zangu na maagizo yangu, wala msifanye mojawapo ya machukizo hayo; yeye aliye mzaliwa, wala mgeni aishiye kati yenu;
27(kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi;)
28ili hiyo nchi isiwatapike na ninyi pia, hapo mtakapoitia unajisi, kama ilivyolitapika hilo taifa lililotangulia mbele yenu.
29Kwani mtu yeyote atakayefanya mojawapo ya machukizo hayo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
30Kwa hiyo yafuateni maagizo yangu, ili kamwe msiwe na mojawapo ya tabia hizi zinazochukiza, zilizotangulia kufanywa mbele zenu; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.