Kutoka 15 - Bible in Kiswahili, Revised Union Version 2013

Wimbo wa Musa

1 wangu;

Naye amekuwa wokovu wangu.

Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu;

Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza.

3

24Ndipo watu wakamnung'unikia Musa, wakisema, Tunywe nini?

25Kut 14:10; 17:4; Zab 50:15; 2 Fal 2:21; 4:41; Yos 24:25; Kut 16:4; Kum 8:2,16; Zab 66:10; 81:7 Naye akamlilia BWANA; BWANA akamwonesha mti, naye akautia katika hayo maji, maji yakawa matamu. Basi akawawekea amri na hukumu huko, akawajaribu huko;

26Kum 7:12; 28:27; Kut 23:25; Zab 103:3; 147:3 akawaambia, Kwamba utaisikiliza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, mimi sitatia juu yako maradhi yoyote niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye.

27 Hes 33:9 Wakafika Elimu, palipokuwa na chemchemi kumi na mbili, na mitende sabini; wakapiga kambi hapo, karibu na maji.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help