2 Yoh UTANGULIZI - Swahili Union Version Bible

UTANGULIZIYohana alipata habari kuwa waalimu wa uongo waliendeleza mafundisho yao katika Kanisa; hivyo akaandika Waraka huu kuagiza Wakristo wajitenge na walimu wa uongo na wasiwakaribishe katika ibada zao.Mwandishi anajiita “Mzee” anayemwandikia “Bimkubwa” mteule pamoja na “Wanawe”. Mwandishi wa Waraka huu ni Yohana ambaye wakati huo, kiumri, alikuwa mzee aliyeheshimiwa kama kiongozi wa Kanisa (tazama utangulizi wa Waraka wa Kwanza wa Yohana). Walengwa wa Waraka huu ni Kanisa fulani katika Asia Ndogo lililokuwa chini ya uongozi wake. Limepewa jina la heshima la “Bimkubwa mteule.” “Watoto wake” ni waumini waliokuwa katika Kanisa hilo.Mwandishi anawatahadharisha waumini waepuke mafundisho ya uongo, wazingatie imani, ukweli na upendo.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help