Est 10 - Swahili Union Version Bible

1 Mwa 10:5; Zab 72:10; Isa 24:15 Basi mfalme Ahasuero alitoza kodi katika nchi na katika visiwa vya bahari.

2Na matendo yake yote yenye nguvu na ya ushujaa, na habari zote za ukuu wake Mordekai ambao alipewa na mfalme, hazikuandikwa katika kitabu-cha-taarifa cha wafalme wa Umedi na Uajemi?

3Mwa 41:40; 2 Nya 28:7; Neh 2:10; Zab 122:8; Mit 12:20; Isa 26:12Kwa maana Mordekai Myahudi akawa wa pili wake mfalme Ahasuero, na mkuu wa Wayahudi, amependeza mbele ya jamii ya ndugu zake; ambaye aliwatafuta watu wake wema, na kuiangalia hali njema ya wazao wao wote.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help