1 Nya 11 - Swahili Union Version Bible

Daudi Apakwa Mafuta kuwa Mfalme wa Israeli Wote

1 palipokuwa na konde limejaa shayiri; na hao watu wakakimbia mbele ya Wafilisti.

14 pia akashuka, akamwua simba katikati ya shimo wakati wa theluji.

23Huyo akamwua Mmisri, mtu mrefu sana, aliyekuwa wa dhiraa tano urefu wake; na yule Mmisri alikuwa na mkuki kama mti wa mfumaji mkononi; lakini yeye akamshukia na gongo, akamnyakulia Mmisri mkuki mkononi, akamwua kwa mkuki wake mwenyewe.

24Mambo hayo ndiyo aliyoyafanya Benaya, mwana wa Yehoyada, akawa na jina kati ya wale mashujaa watatu.

25Tazama, alikuwa mwenye heshima kuliko wale thelathini, ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu; naye Daudi akamweka juu ya walinzi wake.

26 2 Sam 2:18-23; 23:24; 1 Nya 27:7 Tena hawa ndio mashujaa wa majeshi ya askari; Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu;

27Shama Mharodi, Helesi Mpeloni;

28Ira mwana wa Ikeshi Mtekoi, Abiezeri Mwanathothi;

29Sibekai Mhushathi, Salmoni Mwahohi;

30Maharai Mnetofathi, Heledi mwana wa Baana Mnetofathi;

31Itai mwana wa Ribai wa Gibea wa wana wa Benyamini, Benaya Mpirathoni;

32Hurai wa vijito vya Gaashi, Abieli Mwaibathi;

33Azmawethi Mbaharumi, Eliaba Mshaalboni;

34wana wa Yasheni Mgiloni, Yonathani mwana wa Shama Mharari;

35Ahiamu mwana wa Sharari Mharari, Elifeleti mwana wa Ahasbai; Heferi

36Mmaakathi, Ahia Mpeloni;

37Hezro Mkarmeli, Paarai mwana wa Ezbai Mwarki;

38Yoeli nduguye Nathani, Mibhari mwana wa Hagri;

39Seleki Mwamoni, Naharai Mbeorothi, mchukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;

40Yos 15:48; 1 Nya 2:50,53Ira Mwithri, Garebu Mwithri;

412 Sam 11:3Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai;

42Adina mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, na thelathini pamoja naye;

43Hanani mwana wa Maaka, na Yoshafati Mmithni;

44Uzia Mwashterathi, Shama na Yeieli wana wa Hothamu Mwaroeri;

45Yediaeli mwana wa Shimri, na Yoha nduguye, Muzi;

46Elieli Mmahawi, na Yeribai, na Yoshavia, wana wa Elnaamu, na Ithma Mmoabi;

47Elieli, na Obedi, na Yaasieli Mmesobai.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help