1 Mwa 13:8; 1 Kor 1:10 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza,
Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
2 Kut 30:25 Ni kama mafuta mazuri kichwani,
Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni,
Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3 Kum 4:48; 28:8; Law 25:11; Dan 12:2,3; Mt 25:34,46; Yn 4:14; 17:3; Ebr 7:25; 1 Yoh 5:20 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni.
Maana ndiko BWANA alikoamuru baraka,
Naam, uzima hata milele.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.