1 Fal 4 - Swahili Union Version Bible

Maofisa Tawala wa Sulemani

1Basi mfalme Sulemani akawa mfalme juu ya Israeli wote.

2Na hawa ndio wakuu aliokuwa nao; Azaria mwana wa Sadoki, kuhani,

3

4 thelathini za unga mzuri, na kori sitini za ngano,

23na ng’ombe kumi walionona, na ng’ombe ishirini za malisho, na kondoo mia, pamoja na ayala, na paa, na kulungu, na kuku walionona.

24Mwa 10:19Kwani alikuwa akitawala nchi yote upande huu wa Mto, toka Tifsa mpaka Gaza, juu ya wafalme wote wa upande huu wa Mto; naye alikuwa na amani pande zake zote.

25Kum 33:28,29; Zab 33:12; 144:12-15; Yer 23:6; Mik 4:4; Zek 3:10Yuda na Israeli wakakaa salama, kila mtu chini ya mzabibu wake na chini ya mtini wake, tokea Dani mpaka Beer-sheba, siku zote za Sulemani.

26 Kum 17:16; 1 Fal 10:25,26; 2 Nya 9:25; Zab 20:7 Tena Sulemani alikuwa na mabanda ya farasi arobaini elfu kwa magari yake, na wapandao farasi kumi na mbili elfu.

27Na maakida wale wakaleta chakula kwa mfalme Sulemani na kwa wote walioijia meza ya mfalme Sulemani, kila mtu katika mwezi wake, kisipunguke kitu.

28Est 8:14; Mik 1:13Shayiri pia na majani kwa farasi, na kwa wanyama wenye mbio, wakaleta mahali walipokuwapo, kila mtu kwa kadiri ya kazi yake.

Sifa za Hekima ya Sulemani

29Mungu akampa Sulemani hekima, na akili nyingi sana, na moyo mkuu, kama mchanga ulioko pwani.

30Mwa 25:6; Ayu 4:21; Mit 2:1; Mdo 7:22Hekima ya Sulemani ikapita hekima ya wana wote wa mashariki, na hekima zote za Misri.

311 Nya 15:19; 6:33Kwa kuwa alikuwa na hekima kuliko watu wote; kuliko Ethani Mwezrahi, na Hemani, na Kalkoli, na Darda, wana wa Maholi; zikaenea sifa zake kati ya mataifa yote yaliyozunguka.

32Mit 1:1; Mhu 12:9; Wim 1:1Naye akanena mifano elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano.

33Akanena habari za miti tangu mwerezi ulioko Lebanoni hata hisopo umeao ukutani; pia akanena habari za wanyama, na za ndege, na vitambaavyo, na samaki.

341 Fal 10:1; 2 Nya 9:1Wakaja wa mataifa yote ili waisikie hekima ya Sulemani, toka wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamepata habari za hekima yake.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help