Zab 28 - Swahili Union Version Bible

Sala ya Kupata Msaada na Shukrani za MsaadaYa Daudi.

1Ee BWANA, nitakuita Wewe, mwamba wangu,

Usiwe kwangu kama kiziwi.

Nisije nikafanana nao washukao shimoni,

Ikiwa umeninyamalia.

2Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo,

Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.

3Usinikokote pamoja na wasio haki,

Wala pamoja na watenda maovu.

Wawaambiao jirani zao maneno ya amani,

Lakini mioyoni mwao mna madhara.

4 wake.

9Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako,

Uwachunge, uwachukue milele.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help