Wim 7 - Swahili Union Version Bible

Maelezo ya Wasifu

1

12 Wim 6:11; 4:16; Zab 63:3-8; 73:25 Twende mapema hata mashamba ya mizabibu,

Tuone kama mzabihu umechanua,

Na maua yake yamefunuka;

Kama mikomamanga imetoa maua;

Huko nitakupa pambaja zangu.

13 Mwa 30:14; Wim 5:1; Mt 13:52; Yn 15:8 Mitunguja hutoa harufu yake;

Juu ya milango yetu yako matunda mazuri,

Mapya na ya kale, ya kila namna,

Niliyokuwekea, mpendwa wangu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help