2 Sam 23 - Swahili Union Version Bible

Maneno ya Mwisho ya Daudi

1Basi haya ndiyo maneno ya mwisho ya Daudi.

Daudi, mwana wa Yese, anena,

Anena huyo mtu aliyeinuliwa juu,

Yeye, masihi wake Mungu wa Yakobo,

Mtungaji wa nyimbo za Israeli mwenye kupendeza;

2 Mhakmoni, mkuu wa maakida; huyo aliliinua shoka lake juu ya watu mia nane waliouawa pamoja.

9 pia akashuka akamwua simba katikati ya shimo wakati wa theluji;

211 Nya 11:23huyo naye akamwua Mmisri, mtu mrefu; naye huyo Mmisri alikuwa na mkuki mkononi; lakini yeye alimshukia na gongo, akamnyakulia Mmisri mkuki mkononi mwake, akamwua kwa mkuki wake mwenyewe.

22Hayo ndiyo aliyoyafanya Benaya, mwana wa Yehoyada, akawa na jina kati ya wale mashujaa watatu.

232 Sam 8:18Alikuwa mwenye heshima kuliko wale thelathini, ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu. Naye Daudi akamweka juu ya walinzi wake.

24 2 Sam 2:18 Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmojawapo wa wale thelathini; na Elhanani, mwana wa Dodo, wa Bethlehemu;

251 Nya 11:27na Shama, Mharodi, na Elika, Mharodi;

26na Helesi, Mpeloni, na Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoi;

27na Abiezeri, Mwanathothi, na Sibekai, Mhushathi;

28na Salmoni, Mwahohi, na Maharai, Mnetofathi;

29na Heledi, mwana wa Baana, Mnetofathi, na Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;

30Amu 12:15; 2:9na Benaya, Mpirathoni, na Hurai, wa vijito vya Gaashi;

31na Abieli, Mwarbathi, na Azmawethi, Mbarhumi;

32na Eliaba, Mshaalboni, na wana wa Yasheni; na Yonathani,

33mwana wa Shama, Mharari, na Ahiamu, mwana wa Shalali, Mharari;

34na Elifeleti, mwana wa Ahasbai, na Heferi, Mmaakathi, na Eliamu, mwana wa Ahithofeli, Mgiloni;

35na Hezro, Mkarmeli, na Paarai, Mwarbi;

36na Igali, mwana wa Nathani, wa Soba, na Bani, Mgadi;

37na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;

382 Sam 20:26; Yos 15:48na Ira, Mwithri, na Garebu, Mwithri;

392 Sam 11:3,6na Uria, Mhiti; jumla yao ilikuwa watu thelathini na saba.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help