Matendo 28 - Swahili Revised Union Version DC

Paulo akiwa katika kisiwa cha Malta

1Tulipokwisha kuokoka, ndipo tulipojua ya kuwa kisiwa kile chaitwa Melita.

2

27Kwa maana mioyo ya watu hawa imepumbaa,

Na masikio yao ni mazito ya kusikia,

Na macho yao wameyafumba;

Wasije wakaona kwa macho yao,

Na kusikia kwa masikio yao,

Na kufahamu kwa mioyo yao,

Na kubadili nia zao, nikawaponya.

28 Zab 67:2; 98:3; Lk 3:6; Mdo 13:46 Basi ijulikane kwenu ya kwamba wokovu huu wa Mungu umepelekwa kwa Mataifa, nao watasikia!

30Akakaa muda wa miaka miwili kamili katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea,

31Mdo 1:3; 28:23 akihubiri habari za ufalme wa Mungu, na kuyafundisha mambo ya Bwana Yesu Kristo, kwa ujasiri mwingi, asikatazwe na mtu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help