1BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
2 yao.
32 Kut 12:37; 38:26; Hes 1:46; 11:21 Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli kwa nyumba za baba zao; wote waliohesabiwa katika kambi kwa majeshi yao, walikuwa elfu mia sita na tatu na mia tano na hamsini.
33Hes 1:47; 26:57-62 Lakini Walawi hawakuhesabiwa katika wana wa Israeli; kama BWANA alivyomwagiza Musa.
34Kut 39:42; Hes 24:2,9; Zab 119:6; Isa 45:12; Lk 1:6; 1 Kor 14:40 Hivyo ndivyo walivyofanya wana wa Israeli; kama BWANA alivyomwamuru Musa; ndivyo walivyojipanga kufuata bendera zao, na ndivyo walivyosafiri, kila mtu kwa jamaa zao, kwa nyumba za baba zao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.