1BWANA akasema na Musa, akamwambia,
2 na kila mzaliwa wa kwanza wa binadamu katika wanao utamkomboa.
14 wana wa Israeli wakakwea kutoka nchi ya Misri wakiwa tayari kwa vita.
19Mwa 50:25; Yos 24:32; Mdo 7:16 Musa akaichukua ile mifupa ya Yusufu pamoja naye; maana, alikuwa amewaapisha sana wana wa Israeli, akisema, Mungu hana budi atawajia ninyi; nanyi mtaichukua mfupa yangu kutoka hapa pamoja nanyi.
20Hes 33:6 Nao wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, kwenye mpaka wa lile jangwa.
21Kum 1:33; Neh 9:12,19; Zab 78:14; Isa 4:5; 1 Kor 10:1 BWANA naye akawatangulia mchana ndani ya wingu mfano wa nguzo, ili awaongoze njia; na usiku, ndani ya moto mfano wa nguzo, ili kuwapa nuru; wapate kusafiri mchana na usiku;
22Zab 121:5-8 ile nguzo ya wingu haikuondoka mchana, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku, mbele ya hao watu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.