1 wake;
Atamjibu toka mbingu zake takatifu,
Kwa matendo makuu ya wokovu
Ya mkono wake wa kulia.
7 Amu 7:7 Hawa wanataja magari na hawa farasi,
Lakini sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu.
8Wao wameinama na kuanguka,
Bali sisi tumeinuka na kusimama.
9BWANA, umwokoe mfalme,
Utuitikie siku tuitayo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.