1Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la kitabu lirukalo.
2Akaniuliza, Unaona nini? Nikajibu, Naona gombo la kitabu lirukalo; na urefu wake ni dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi.
3 atakatiliwa mbali kama ilivyo andikwa upande wa pili.
4 cha risasi kiliinuliwa; na tazama, mlikuwa na mwanamke ndani ya kikapu.
8Akasema, Huyu ni Uovu; akamsukuma ndani ya kile kikapu; akalitupa lile jiwe la risasi juu ya mdomo wa ile efa.
9Ndipo nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, wanawake wawili walitokea, nao upepo ulikuwa katika mabawa yao; na mabawa yao yalikuwa kama mabawa ya korongo; wakaiinua ile efa kati ya dunia na mbingu.
10Ndipo nikamwambia yule malaika aliyesema nami, Hawa wanaipeleka wapi efa hii?
11 tena ikiisha kutengenezwa, atawekwa huko mahali pake mwenyewe.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.