1 Mwa 13:8; 1 Kor 1:10 Tazama, jinsi ilivyo vyema, na kupendeza,
Ndugu kuishi pamoja, kwa umoja.
2 Kut 30:25 Ni kama mafuta mazuri kichwani,
Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni,
Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3 Kum 4:48; 28:8; Law 25:11; Dan 12:2,3; Mt 25:34,46; Yn 4:14; 17:3; Ebr 7:25; 1 Yoh 5:20 Ni kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni.
Maana huko ndiko BWANA alikoamuru baraka,
Naam, uzima hata milele.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.